Header Ads

Header ADS

Diwani, wananchi 12 wanusurika kuuawa Moshi





Diwani wa Kata ya Miembeni Manispaa ya Moshi (CCM), Mohamed Mushi na wananchi wake 12, wamenusurika kifo baada ya mfanyabiashara maarufu wa Moshi, Ibrahim Nyambacha kudaiwa kuwafyatulia risasi.


Kaimu Kamanda wa Polisi mkoani Kilimanjaro, Ronald Makona amethibitisha kuwapo kwa tukio hilo, hata hivyo hakulizungumzia zaidi kwa madai ya kuwa nje ya ofisi.  


No comments

Powered by Blogger.