Header Ads

Header ADS

Tulia ampa siku saba mbunge kuonyesha ushahidi wizi wa kura uchaguzi mkuu 2020

 



Mbunge wa viti maalumu, Felister Njau amepewa siku saba kuthibitisha kauli yake aliyoitoa bungeni kuhusu kukamatwa kwa mabegi matano ya kura wakati wa uchaguzi mkuu 2020.


Felister ametakiwa kupeleka uthibitisho huo na naibu Spika, Dk Tulia Ackson leo Jumatano Februari 3, 2021 kutokana na kauli yake hiyo aliyoitoa bungeni wakati akichangia hotuba ya Rais John Magufuli ya ufunguzi wa Bunge la 12.

 

Join Our Telegram Group for Job Updates CLICK HERE


 



No comments

Powered by Blogger.