Simba na African Lyon kukipiga leo kwa Mkapa
IKIWA Uwanja wa Mkapa leo Simba itakaribishwa na African Lyon kwenye mchezo wa Kombe la Shirikisho ambao utachezwa majira ya saa 1:00 usiku.
Chini ya Kocha Mkuu, Didier Gomes unakuwa ni mchezo wake wa kwanza kwenye Kombe la Shirikisho baada ya kurithi mikoba ya Sven Vandenbroeck ambaye alitwaa taji hilo msimu uliopita.
No comments