Producer Dr Dree Apata Mwanamke Mwingine Baada ya Ndoa yake Kutumbukia Nyongo..Huyu Hapa
Ni kama Dr. Dre ameanzisha mahusiano na mwanamke mwingine mara baada ya ndoa yake na Nicole Young kutumbikia nyongo.
Mtayarishaji huyo mkongwe wa muziki ameonekana akiwa karibu sana na mwanadada aitwaye Apryl Jones ambaye ni baby mama wa Omarion, ambapo jana walitoka kupata chakula cha usiku kwenye mgahawa mmoja mjini West Hollywood, hivyo kuleta uvumi kwamba wanaweza kuwa kwenye mahusiano.
No comments