Header Ads

Header ADS

Nzige wahamia Siha na Simanjiro, Waziri afika eneo la tukio





Waziri wa Kilimo Prof Adolph Mkenda pamoja na Naibu waziri wa Kilimo wamefika Wilayani Siha mkoani Kilimanjaro na Simanjiro Mkoani Manyara baada ya nzige wa Jangwani kuhaminia maeneo hayo.
Prof Mkenda amesema nzige hao hawajaleta athari zozote nakuwataka wananchi kutokuwa na taharuki wakati wanalifanyia kazi suala hilo ikiwemo kutumia ndege kunyunyiza viatilifu.



No comments

Powered by Blogger.