Yapo matukio ambayo ukiyasikia, lazima moyo wako uumie kupita kiasi! Miongoni mwa matukio hayo, ni hili linalomhusu mtoto George Stinney, Mmarekani mweusi ambaye alibambikiwa kesi ya mauaji, akanyongwa lakini miaka kibao baadaye, ikaja kujulikana kwamba alinyongwa kimakosa!
No comments