Header Ads

Header ADS

Mama Dongote Amecofirm Kuwa Esma Platnumz ni Mtoto wake wa Kumzaa


Jamani tunapenda kuwajuza tena watanzania kwamba leo hii kwamba siku ya leo Yuda kama Yuda karudi kwenye familia ya Mama Dangote kama mtoto wake wa kumzaa 🤣🤣🤣.

Kwahiyo ile kauli ya kwanza ya kwamba Diamond na Esma sio ndugu tunaifuta taratibu hadi tukisikia taarifa nyingine jamani leo tubaki hapo.






No comments

Powered by Blogger.