Header Ads

Header ADS

B Gway: Diamond kunitaja na kuisifia ngoma yangu ni sawa na remix tayari (+ Video)



Aliyewahi kuwa msanii wa @naytrueboytz @bgway_gwayne amefunguka kwa mara ya kwanza sababu iliyomfanya akae kimya kwenye muziki.


Mbali na hilo @bgway_gwayne amemshukuru @diamondplatnumz kwa kuisifia ngoma yake ya MWAKA HUU na kusema kuwa kitendo cha Diamond kumtaja kwenye Interviw yake na kuisifia ngoma yake mpya ya MWAKA HUU na kusema ndio wimbo wake bora ni sawa na Remix tayari.


VIDEO:




No comments

Powered by Blogger.