Header Ads

Header ADS

Zuchu aweka rekodi mpya Africa kwa wasanii wa kike wa muziki

 


Leo record mpya imeandikwa na Zuchu katika bara la Africa.


Amekuwa msanii wa kwanza wa kike kufikisha views million 1 kwenye YouTube ndani ya masaa 22.


Hongera queen wa bongofleva.





No comments

Powered by Blogger.