Header Ads

Header ADS

Wabunge wa Trump wanaingia Bungeni na bastola

 


Spika wa Bunge la Marekani Nancy Pelosi ameomba Serikali kuwaongezea ulinzi zaidi Wabunge huku akisema Adui yupo miongoni mwa Wabunge wenyewe.

 

“Kuna Wabunge wa Chama cha Republican cha Rais wa zamani Donald Trump wanaingia Bungeni wakiwa na Bastola, na kutishia usalama, tuongezewe ulinzi”-Nancy


Kumekuwa na kauli kadhaa za FBI kuonya kuwa huenda kukatokea tukio la kigaidi siku za karibuni Nchini Marekani, tangu Wafuasi wa Trump wavamie Bunge na kufanya vurugu zilizopelekea vifo vya Watu kumekuwa na hofu ya kutokea kwa vurugu nyingine pia.



No comments

Powered by Blogger.