Header Ads

Header ADS

Shetta: Diamond na Mzee Abdul wanaweza kwenda mahakamani kuhoji uhalali wa majina yao



Kuhusu Diamond kumfichwa baba yake mzazi mpaka hivi sasa na kutumia jina la mtu ambaye sio baba yake haliyakuwa baba yake ni mwingine anaweza kwenda mahakamani kudai haki yake kama mtoto na baada ya kwenda kushtaki sisi kama Taasisi ya Sawa kwa kutumia wanasheria wetu tutaanza kumsaidia.

Lakini pia mzazi (Baba) kukataa mtoto kutumia jina lake hilo limekaa kisheria zaidi ambapo mzazi anaweza kwenda mahakamani kushtaki kwanini alifichwa kuhusu mtoto na huduma zote alitoa kama baba huku jina lake likitumiwa kinyume cha sheria na baada ya hapo sisi kama Taasisi kupitia wanasheria wetu tutaanza kushughulika nalo.


No comments

Powered by Blogger.