Hatimaye Diamond Platnumz na mwanae wa nne, Naseeb Jr wamekutana, miezi kadhaa baada ya staa huyo kuachana na Tanasha. Hilo limewezekana baada ya Tanasha kutua Dar Ijumaa hii na kumpeleka mwanae kuonana na baba yake. Mengi zaidi Sky anasimulia VIDEO:
No comments