Header Ads

Header ADS

Hapa Diamond Katoa Copy Yake, No need of DNA Test


Picha hii inazunguka Mtandaoni ikumuonesha Mwanamuziki Diamond Platnumz akiwa mtoto na mtoto wake ambae wamezaa na Mwanamuziki kutoka Kenya Tanasha Dona, Wadau wengi wanasema mtoto kafanana sana na baba hakuna haja ya kupima DNA, Je wewe Mdau Unaonaje?

No comments

Powered by Blogger.