Header Ads

Header ADS

Diamond Platnumz "Nalipwa Milioni 200 Kutangaza Biashara"

  


" Kwenye Endorsement zangu (Matangazo ya Biashara), kwasasa nalipwa Milioni 55 kwa Wiki na zaidi ya Milioni 200 kwa Mwezi . Hivi Karibuni nimeingia mkataba na kampuni nyingine kadhaaa Kwa ajili kutangaza bidhaa zao " - @diamondplatnumz Ameyasema hayo kupitia @wasafifm



No comments

Powered by Blogger.