Header Ads

Header ADS

Barbara 'Yanga Wanalazimisha Penzi Kwa Bernad Morrison"

 


Kesi ya Morrison bado ipo, Wanasheria wetu wanatusaidia na mimi ni miongoni mwa watu ambao wanaisimamia kesi hiyo, lakini ninachokiona kutoka kwa Yanga ni kama mtu aliyeachwa na mpenzi wake lakini bado anamlazimisha warudiane" -Barbara Gonzalez (@bvrbvra) CEO wa @simbasctanzania kwenye #HiliGame #PowerBreakfast

No comments

Powered by Blogger.