Historia Fupi ya Mtoto Tajiri wa Rais Mobuttu Aliyejiua Baada ya Kupata Ukimwi
HISTORIA : Aanaitwa Kongolu Jose Mobuttu ni marehemu alikua ni mtoto wa Generale Mobuttu rais wa zamani wa Zaire - Congo DRC ...alikua Mbabe sana na tajiri sana alifahamika na Taifa lake kwa jina la "Saddam Hussein" na kwenye nyimbo nyingi za Wa-Congo wao humuita "Saddammisenye" ....alikua ndiye mfadhili namba moja wa Wenge Musica BCBG ilipokua inaanza.....alifariki kwa kujiua Mwaka 1998 inasemekana ni baada ya kujigundua kuwa ameukwaa "UMEME" ....enzi zake jamaa alikua ni mbabe na jeuri ya pesa akapachikwa majina mengi kama "Homme Fort" yaani Mwanaume Shupavu au "Tempete Du Desart" au Kimbunga Cha Jangwani lakini kila Chenye Mwanzo lazima kiwe na mwisho! .....sifa za pesa na umaarufu zisitudanganye guys TUJIFUNZE KWA WATU KAMA HUYU AMBAYE ENZI ZA UHAI WAKE HAKUNA ALICHOKUWA HANA NA HASA KINACHOHUSU PESA.....lakini leo yupo chini kimyaa. Wacongo wanasema "Tokendeke Malembe Mokili ya Nzambi" ....tembea pole pole Dunia ya Mungu!
No comments