#UNAAMBIWA: Kwa mujibu wa Sheria ya Ardhi ya Tanzania, Mtu akivamia Ardhi ya mwingine na kuiendeleza kwa muda wa miaka 12 pasipo kuzuiwa na aliyekuwa Mmiliki wa awali basi Ardhi hiyo itakuwa ni Mali halali ya Mvamizi huyo...unashauriwa usiitelekeze kwa muda mrefu ardhi yako maana unaweza kuipoteza.
No comments