Header Ads

Header ADS

Gwajima Azitaka Hospitali Kutozuia Maiti Kisa Madeni

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Dorothy Gwajima amezitaka Hospitali nchini kutokuzuia maiti kwa madai ya kuwataka ndugu kulipia gharama za matibabu.

Dkt. Gwajima amesema hayo jana wakati alipotembelea Hospitali ya Mloganzila kuona hali ya huduma inayotolewa Hospitalini hapo pamoja na kuzungumza na Menejimenti.



No comments

Powered by Blogger.