Header Ads

Header ADS

Wimbo Mpya wa Diamond Platnumz Wavunja Rekodi Africa iliyokuwa Imewekwa na Davido...


Nyota wa muziki nchini, msanii @diamondplatnumz amevunja rekodi ya kufikisha YouTube views Million 1 ndani ya muda mfupi zaidi kupitia video ya wimbo wake mpya "Waah" aliyomshirikisha @koffiolomide_officiel

Awali rekodi hiyo ilikua inashikiliwa na Mwanamuziki #Davido Kutoka nchini Nigeria.

#Diamond ameweka rekodi hiyo mpya baada ya kufikisha views Milion 1 ndani ya Masaa 8 TU. Kwa upande wa #Davido yeye alifikisha views Milion 1 ndani ya Masaa 9 pekee kupitia Video ya wimbo wake FEM.



No comments

Powered by Blogger.