Viwanja viwanja: Bunju, Mapinga na Vikawe
Upo msingi wa guest house (vyumba 8) unauzwa na kiwanja chake cha sqm 800, kipo main road ya Mapinga to Kibaha, umbali wa km 2 tu kutoka Baobab secondary.
Unafaa kubadlishwa matumizi ukajengwa nyumba za kupanga au frem za biashara. Bei ya msingi huo pamoja na kiwanja chake ni tsh 27 million negotiable.
Pia vipo viwanja kwa Bei ya tsh 10,000 per sqm kwa Vikawe, tsh 15,000 per sqm kwa Mapinga na tsh 30,000 per sqm kwa Bunju.
Viwanja vipo size zote unazotaka mteja wetu.
For more information call: 0758 603077
No comments