"Tumefanikiwa kupunguza umaskini wa kipato hadi kufikia asilimia 26.4% kwa takwimu za mwaka 2017- 2018 mafanikio haya bila shaka ndio yamewezesha nchi yetu kutangazwa kuingia katika kundi la nchi za uchumi wa kati kutoka katika kundi la nchi masikini" Rais Dkt John MAGUFULI.
No comments