Header Ads

Header ADS

Shilole: Siku ya harusi yangu na uchebe, Diamond, Jux na harmonize walitoa ahadi aliyetimiza ni Harmonize tu



Shilole leo amekumbushiwa na wana habari kuhusu baadhi ya wasanii waliomuahidi vitu mbalimbali siku ya harusi yake na Uchebe ambapo Jux aliahidi kuwasomesha watoto wake @diamondplatnumz aliahidi kuitangaza bidhaa ya Shishi Chil huku @harmonize_tz aliahidi kumzawadia gari aina ya Noah .



@officialshilole ameweka wazi kuwa @harmonize_tz alishamlipaga ila bado @diamondplatnumz na @juma_jux




No comments

Powered by Blogger.