Nyota wa Ufaransa Antoine Griezmann anazithamini sana nywele zake kuliko kitu chochote, amesema hata Klabu yake ya Barcelona ikimtaka azikate, hatofanya hivyo kwa sababu mkewe pamoja na familia yake wanazipenda.
No comments