Kama Kiduku ni Bondia Mzuri Aende Nje Akalitafute Jina na Yeye sio Atake Mseleleko wa Mwakinyo....Tusijidanganye
Leo nimeona nijaribu kutoa wazo langu juu ya Mambo yanayoendelea Nchini kwetu juu ya bondia wetu Mzalendo Alie kataa kupeperusha bendera ya nchi nyingine ambazo ni nzur na hakika mpaka Sasa angekua bilionea na yeye ila akaamua kua mzalendo kwenye nchi Ambayo haikushiriki chochote toka anakuwa kama Bondia ila inataka kushiriki kumpoteza kweli Tanzania kichwa cha Mwendawazimu
Mwakinyo Tanzania hakuna alie wahi kumjua wala kusikia kipind ni zero ila wote tumepata kumfaham baada ya kua hero
Mwakinyo Bondia Ambae ameupandisha mchezo wa Box thaman Tanzania na Ameweza kushawishi makampuni makubwa kuwekeza kwenye boxing Leo hii watu wanakaa na Kuanza kujadili eti Mwakinyo na Kiduku ni Nani Tanzania one wanasahau before Mwakinyo amesha kua Africa one na bado kwenye boxer ni Africa one na Tanzania ni ndan ya nchi za Africa ila watanzania hawamtaki Africa one ila wanatafuta Tanzania one shame on you
Mwakinyo ni bondia Anayestahili heshima kubwa na ingefaa akajengewa Sanamu
Kiduku namuona kama mtoto wa Mama anae tafutiwa nafasi ya Mwakinyo kwa nguvu na watu wasio mpenda mwakinyo ndiomana kila siku wako bize kumponda Mwakinyo kutaka kumchafua mwakinyo kua Ana dharau ili tu Kiduku aonekane Msafi
Kama kiduku ni Bondia mzuri aende nje akalitafute Jina na yeye sio atake mseleleko
No comments