Huyu Ndio Mtu Aliyekaa na RISASI Kichwani Kwa Muda Mrefu Kuwahi Kutokea Duniani
William Lawlis Pace aliyezaliwa Februari 27, 1909 alipigwa risasi kwa bahati mbaya Oktoba 1917, akiwa na umri wa miaka 8
-
Risasi hiyo ilipelekea apoteze uwezo wa kusikia kwa sikio la kushoto, na uwezo wa kuona kwa jicho lake la kulia
-
Mbali na ulemavu huo aliishi kawaida, alifariki Aprili 23, 2012 akiwa na miaka 103. Risasi ilikaa kichwani mwake kwa miaka 94

No comments