Harmonize: Tumaini langu kwa sasa ni muziki wa Singeli, kama hatutabadilika akina Rema, Fireboy watachukua hela zetu sana Bongo
Harmonize” Tumaini langu kwa sasa labda muziki wa Singeli, kama hatutakubali kubadilika na kubadilisha aina ya muziki wetu tutawapa mzigo vizazi vijavyo.
Ambao mashabiki wao ni watoto wa kuanzia miaka 12 hadi 20, ambao wapo shule mbaya zaidi wanasikiliza akina MAZERATI, REMA FIRE BOY na wengine istoshe wana Audimark so wanasikiliza ngoma zote kali kirahisi, na nyingi ni za kizungu, kazi ipo na hii kitu inakuza sana muziki wa nje na ndio maana umeona miezi miwili iliyopita wamekuja wasanii wa Nigeria kama wa nne tofauti na kwa wakati tofauti na Promoters wanaowaleta wanaangalia nani anapendwa pili ngoma gani zinafanya vizuri i like it ukweli ni kwamba ngoma zao ni kali , waacheni waje na kutuchukulia pesa zetu, tutawasiundikiza tu.”
No comments