Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara imeendelea leo kwa mchezo kati ya Azam FC dhidi ya Yanga kwenye dimba la Chamanzi jijini Dar, ambapo Yanga imeibuka na ushindi wa goli 1-0. FT: Azam FC 0-1 Yanga SC (Kaseke 48’)
No comments