Utafiti: Kutumia Pesa zako Kwa Ajili ya Wengine Kuna Kufanya Uwe na Furaha Kuliko Kuzitumia Wewe
"Ukimnunulia kitu Mzazi wako unajisikiaje? vuta picha ile furaha unaipata ukimnunulia kitu Mpenzi wako au Mwanao... inazidi hata ile furaha ya wewe kujinunulia kitu, ndio maana tunasema kutumia pesa kwa ajili ya wengine kunakupa furaha zaidi, kwahiyo usiogope kutumia pesa kwa ajili ya wengine"
No comments