Kwa Nini Wanaume Wengi hupiga Punyeto licha ya kuwa na Wapenzi
Si wanaume tu peke yake bali hata wanawake huwa wanapiga punyeto licha ya wao kuwa na wapenzi wao, wengi wanasema kuwa ni kupagawa na mapepo bali wengine wanasema wanafanya hivyo ili kujifurahisha.
Lakini sababu ni ipi haswa kwa wanaume kupiga punyeto licha ya wao kuwa na wake au wapenzi? Usitie shaka jibu la swali lako ushapata hapa.
Hizi hapa sababu za wanaume kufanya hayo licha ya kuwa na wapenzi wao;
1.Mpenzi au mke akiwa ni mjamzito
Kwa kweli mwanamke akiwa wajawazito michezo ya kitandani hawafanyi kamwe huku ikichangia wanaume wengi kupiga punyeto, licha kuwa na wake zao nyumbani. Hii ni kwa sababu ana haja ya kufanya ngono lakini hawezi kwa maana mwenzake hana hamu wala hawezi kwa sababu ya ujauzito.
2. Hupunguza umwagaji wa mapema
Kulingana na visa vya wanaume wengi humu nchini wengi baada ya kufanya ngono humwaga kwa haraka sana huku hamu ya ngono ikiisha kwake bali kwa mpenzi wake bado hamu iko kwa wingi.
Wengi husema kuwa wakipiga punyeto mara kwa mara endapo wanafanya ngono na wenzao huwa hawamwagi haraka.
3.Tabia
Wanaume wengi wameshindwa kujinasua kutokana na kupiga punyeto kwa maana wamezoea kufanya yaani ni tabia ambayo wamejizoesha kufanya kila mara endapo wamo peke yao chumbani.
4. Ni mojawapo ya njia ya ngono
Si wote ambao wanapenda kufanya ngono bali hutegemea punyeto kama ngono yao sababu haswa nani anafahamu ni wao tu.
Lakini swali kuu ni je mwanamume au mwanamke anapaswa kupiga punyeto licha ya wao kuwa na wapenzi?
No comments