Header Ads

Header ADS

"Wasanii wa Kenya Wanapesa, Bongo majina " - Ten


Msanii wa Kenya Ten Ballz amenyoosha maelezo kwa kusema wasanii wa Bongo wamebaki majina tu na sio pesa hivyo hawawezi kuwafikia wasanii wa Kenya.


Akipiga stori na EATV & EA Radio Digital baada ya kutoka kwenye show ya Friday Night Live, Ten Ballz amesema wasanii wa Kenya wana pesa ila wasanii wa Bongo wamebaki majina tu.

"Wasanii wengi wa Kenya tuna pesa halafu wasanii wengi wa Bongo wamebaki na majina, wasanii wa huku wanakuja kuchukua pesa Kenya, kufanya show, wana njaa na sisi ndiyo tumewatengeza, kwa hiyo wasanii wa Bongo akitaka kuwa Boss lazima aje Kenya halafu kuwa na watazamaji au wafuasi wengi haimaanishi kama ndiyo una pesa" amesema Ten Ballz


No comments

Powered by Blogger.