Tazama Picha za Fatma Abdallah, Mtangazaji wa Wasafi Media aliyeaga Dunia Ghafla
Kundi la Wasafi media lingali katika majonzi na linajaribu kufahamu kilichosababisha kifo cha mmoja wao mtangazaji Fatma Abdallah kwa jina maarufu Kungwi Mkatashombo.
Mtangazi huyo aliaga dunia mwishoni mwa wiki siku chache tu kabla ya kuandaliwa kwa hafla ambayo alifaa kuwa muandalizi mkuu ya AFRICAN WOMEN SUCCESS CONGRESS, EVENT &EXIHIBITION.
Hafla hiyo ilifaa kufanyika Septemba tarehe 5 katika ukumbi wa Solomon.
Kulingana na posti yake ya mwisho katika mitandao ya kijamii warsha hiyo ilifaa kuwafunza wanawake kuhusu ;

- Njia za kusuluhisha tofauti na mizozo katika maisha yao na mahusiano
- Kuwapa wanawake fursa ya kukutana na wataalam ambao kwa kawaida hawangepatana nao
- Kuwasaidia wanawake kuacha tabia na mitindi inayowafanya kufeli katika biashara
- Kupasana kuhusu fursa zilizopo za kibiashara miongoni mwa masuala mengine
No comments