Header Ads

Header ADS

Siri Gani ipo Nyuma ya Namba 40?

Je, ni nini siri ya namba arobaini(40)?
Kipindi cha Musa wana wa Israeli walisafiri toka Misri kwa miaka arobaini(40).
Kipindi cha Nuhu mvua ilinyesha siku arobaini(40).
Yesu alifunga miaka siku(40).
Goliati aliwapiga wana wa Israeli kwa siku arobaini (40) kabla hajauwawa na Daudi.
Musa alipanda mlimani kupewa amri kumi za Mungu kwa siku arobaini(40).
Mtu akifa kunakuwa na arobaini yaani siku arobaini baada ya kufa(40).
Mtoto akizaliwa anatolewa nje baada ya siku arobaini(40).
Hata mwizi zake ni arobaini(40)

- Na mengine mengi yanayoihusu namba arobaini (40)

Wale wataalamu wa kusoma namba naombeni msaada wenu kuhusu hii namba.

Cc: Mshana Jr

No comments

Powered by Blogger.