"Kulikuwa na mambo ambayo yalinifanya kuchukua maamuzi ya kuondoka, kama huna furaha namna nzuri ya kufanya ni kuondoka, sikuondoka kwa ubaya ndio maana niliwatakia kila la kheri.”
No comments