Header Ads

Header ADS

Nape: Washindani Wakituchokoza Hatuwezi Kuwachekea


Mgombea Ubunge wa jimbo la Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema washindani wakiwachokoza hawawezi kuwaacha.

Nape aliandika ujumbe huo katika ukurasa wake wa twitter akimjibu Maria Sarungi.

“Umetumia maneno sahihi kabisa/ you have used exactly words and meaning. Siwezi kusema kuwa eti washindani wakituchokoza tutawachekea hapana nitakuwa mnafiki na hilo wanijua vyema siwezi,” aliandika Nape.


No comments

Powered by Blogger.