Header Ads

Header ADS

Msanii Wakazi Achaguliwa Kugombea Ubunge

Kamati Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imemteua Webiro Wakazi Wassira (Wakazi) kuwa Mgombea Ubunge Jimbo la Ukonga, DSM katika Uchaguzi Mkuu wa October 28, 2020, licha ya kuwa Mwanasiasa, Wakazi pia ni Msanii wa Muziki wa Hiphop.

No comments

Powered by Blogger.