Header Ads

Header ADS

Askari Msitumike vibaya Kisiasa, Askari Hana Chama


Mkuu wa utumishi Jeshini Meja Jenerali Paul Kisesa Simuli amewatahadharisha Askari wa Jeshi la wananchi kujihadhari na ushabiki wa Kisiasa.

Meja Jenerali Simuli ametoa tahadhari hiyo wilayani arumeru Mkoani Arusha kwa Askari wahitimu kikosi cha Jeshi 833 Oljoro,Wakati wa kufunga mafunzo ya askari wapya kundi maalumu la nne la mwaka 2020 mchepuo wa sayansi,huku Mkuu wa shule ya mafunzo ya awali ya kijeshi, RTS Kihangaiko Canali Sijaona Myala akisisitiza utunzaji wa afya za Askari hao.

No comments

Powered by Blogger.