Header Ads

Header ADS

Walahi Ubunge wa Msanii SUGU Mbeya Mjini Hali Tete...Naibu Spika Tulia Achukua Form Leo Kupambana Nae

Kutoka Mbeya, Leo July 14,2020 Naibu Spika Dkt.Tulia Ackson amechukua fomu ya kuwania nafasi ya Ubunge wa Jimbo la Mbeya mjini kupitia tiketi ya CCM, Dkt.Tulia amechukua fomu hiyo katika ofisi za CCM Wilaya akisindikizwa na Mume wake James Andilile Mwainyekule.

No comments

Powered by Blogger.