Header Ads

Header ADS

Nandy azindua duka lake la nguo za harusi


Msanii wa muziki wa kibongo Nandy  amezindua Ofisi yake mpya Mbezi DSM, itakayokuwa inatoa huduma zinazohusisha shughuli zote za harusi ikiwemo mavazi ya maharusi, vyakula, production ya picha NK.


"Kwahiyo kirefu cha NB kimepatikana kuwa ni Nandy Bridal na sio harusi ya Nandy na Billnass kama Watu walivyokuwa wanafikiri. 


"Harusi ni jambo kubwa maishani tutakuhudumia kwa weledi mkubwa, tayari tumeanza kupokea oda na weekend hii tunaanza kazi"- NANDY



No comments

Powered by Blogger.