Mke wa Tundu Lissu apewe TUZO, Mambo Aliyopitia Kumtibu Mumewe Mpaka Amepona Sio Rahisi
Nimeguswa kuandika hili, ukizingatia leo tunampokea Tundu lissu niliyempa jina la "Muujiza unaoishi".
Natambua sana kuwa wanawake ni wavumilivu sana sana hasa kwenye shida ngumu wanazopitia. Lakini leo nitambue uwepo wa Mke wa tundu Lisu kama mpambanaji aliyekuwa beneti na mumewe wakati wote wa shida zilizomkuta Lisu.
Tumeona karibu miaka yote hii akiwa na mumewe beneti mpaka sasa tunaona Lisu anatembea akiwa mzima. HUU NI USHUHUDA MKUBWA sana.
Ningependa Bavicha, waandae tuzo maalumu kwa ajili ya mke wa Lissu. Kwani ni mpambanaji anayestahili kupewa tuzo.
Ahsanten
No comments