Header Ads

Header ADS

Kusah Afunguka A-Z Kuhusu Mahusiano yake na Aunt Ezekiel, Nilitukanwa Sana Baada ya Kuachana na Ruby (+Video)


Msanii wa muziki wa Bongo Fleva @_kusah_ leo ameweka wazi kuhusu yale yanayosemekena kuwa yupo katika mahaba mazito na msanii wa Bongo Movie na mjasiriamali @auntyezekiel

Mbali na hilo amezungumzia pia changamoto alizopitia baada ya kuachana na mama mtoto wake @iamrubyafrica Na je kuhusu @iamamberlulu kuwa ndio chanzo cha yeye na @iamamberlulu kuharibu mahusiano yake na @iamrubyafrica

VIDEO:



No comments

Powered by Blogger.