Header Ads

Header ADS

Kitale Achafukwa na Bongo Movies "Kumbe BONGO Movie Wanaiuwa Wasanii Wenyewe"


Msanii wa vichekesho na muvi za kibongo Kitale ameamua kushusha ujumbe mzito kwa wasanii wa bongo movie kuhusina na ubovu wa  series zinazotelewa kuwa hzina viwango na kudai kuw kutokana na hilo wasanii wa bongo movie ndio wanaoua sanaa.

Kupitia akunti yke ya instgram kitale ameandik hivi;

''Nilitegemea Ushindani Mkubwa Katika Tamthilia lakini Nilivyotegemea sivyo. Tamthilia za Ndugu zangu Nilizoziona Bado sanaaa, Kumbe Bongo Movie wanaiuwa Wasanii wenyewe Ok!!!, Kuna Kitu waandishi wa Kibongo bado Kitawapa tabu Sanaaa, na kwa uwandishi ule kuja kuleta Mapinduzi Kwa Hizi series nilizozicheki Mh!!!!! Bado Aiseeee Bado tena Bado, Ebu ngoja Tuone#BINADAMU🔥🔥🔥

ili Tamthilia Yako Tuseme nzuri Cha Kwanza kabisa unatakiwa uitazame MANENO YA KUAMBIWA utunzi uliotumika Mle alafu ufanye Kubwa kuliko MANENO YA KUAMBIWA, Tamthilia ina Miko yake jmn. Katika uandishi wa Tamthilia Tofautisha na uwandishi wa Movie, Tamthilia ina uwandishi wake, Mnatuletea Movie Part 1 na Part 2 na Kuendelea mnatuambia Tamthilia. Shule ipo Hapa 👉MANENO YA KUAMBIWA 😂😂 na wakati Huo mnafanya Kubwa kuliko MANENO YA KUAMBIWA
na sisi Tunafanya nini wakati Huo .???
#BINADAMU#COMINGSOON

KAMA Wasanii watakubali Kujifunza Mm najitolea kutoa Elimu ya Namna ya Kuandika Tamthilia.'' @mkudesimbaoriginal

No comments

Powered by Blogger.