Kauli alizozitoa Kocha wa Yanga, Luc Eymael Jana Jumamosi na kupelekea kufukuzwa kazi
"Sifurahii nchi hii [Tanzania]. Nyinyi ni watu ambao hamjaelimika. Nimechukizwa. Sina gari, WiFi au DSTV. Mashabiki hawajui chochote kuhusu Soka. Ni kama nyani au mbwa wanavyopiga kelele."
No comments