Header Ads

Header ADS

Gigy Money "Mimi Ndio Nilimsaidia Nandy Akarudiana na Bwana Ake wa Sasa Hivi Billnass"

Msanii wa Bongofleva GigyMoney Amesama ;- "Mimi ndio nilimsaidia(Nandy) akarudiana na bwana ake wa Sasa ivi (Billnass) tukiwa Bukoba. Alikuwa analia ametoka kwenye majonzi huko , na nikamsaidia wapatane Ile kishkaji tu "

Giggy ameongea hayo kwenye kipindi Cha Mashamsham Cha wasafifm.

No comments

Powered by Blogger.