Baba Levo "Nina Watoto wa Sita, Watatu Niliwakataa"
Kupitia mahojiano na kipindi Cha SalamaNaBabaLevo epsode iliyo ruka Leo msanii na Diwani anaye zichukua Trending kutokana na Kauli zake za Kuchesha @officialbabalevo Ameweka wazi kuwa na watoto 6 huku watoto wa 3 Kati yao akiwakataa
“Mimi nina watoto sita lakini watatu nimewakataa kwa kuwa mama zao sina uaminifu nao wanaweza wakawa wamenibambikizia. Watoto wangu wanaakili sana hata hao niliowakataa wanaakili pia.”- Baba Levo
No comments