Header Ads

Header ADS

Zari awaka kutukanwa kwa mwanaye " Nilikua nimekaa kimya ila kama mzazi ninaumia"




Mwanamama mfanyabiashara ambaye pia ni mzazi mwenziye na Msanii Daimond platinum , Zari amewatolea povu zito wanaomuandama kumtukana yeye pamoja na watoto wake na kudai kuwa hakuna mzazi anayeweza kuvumilia mtoto wake kutukanwa. 

Zari ameonekana kuwa mwenye hasira na kudai kuwa watu wamekuwa wakimuandama kwa muda mrefu na kwasasa ameamua kuwajibu kwakuwa amechoshwa na hiyo tabia. 

Kupitia instagramu yake ameandika hivi; 

HAKUNA MTU ANATAKA/ ANAPENDA WATOTO WAKE WATUKANWE. 
MIAKA NA MIAKA MNANITUKANIA WANANGU NA NILIKUA NIMEKAA KIMYA, MIMI KAMA MZAZI NIMEUMIZWA SANA NI SAWA NA VILE NYIE MNAUMIA KUA NIMEWATUKANA WATOTO WENU, HAKUNA MZAZI ANAPENDEZWA NA HAYA MAMBO YA KUTUSI WATOTO TENA WADOGO. 
KAMA UMEUMIZWA NA INSTA LIVE YANGU THEN NDO UJUE NA MIMI HUA NAUMIA KAMA WEWE WOTE TUNA ROHO ZA KIBINADAMU AU MNADHANI MIMI SIUMII? 
ACHENI KUNITUKANIA WANANGU KWANI KAMA SHIDA NI MIMI THEN NICHAMBENI/ NITUKANENI MIMI VYOVYOTE MTAKAVO TAKA KWANI BADO SJAONA TUSI JIPYA TOKA MMEANZA KUNITUKANA. 
MIMI SIO MWENDAWAZI ETI NIANZE TUU KUSEMA VITOTO VYENU HIVI NA HIVI... MMENIANZA TENA MIAKA NA MIAKA ILA NIMECHOKA MIMI NI MZAZI PIA 

SASA NIMEWAPA JIBU MOJA TUU MNAHARISHA WEEK NZIMA MBONA MIMI HUAGA SIHARISHI HIVYO MKINITUKANIA WANANGU? 
PIA SICHEKI KWA DHARAU ILA NI VILE MNAHARISHA UKO🤣🤣🤣 MKUKI KWA NGURUE KWA BINADAMU MCHUNGU👌
OPEN IN BROWSER


No comments

Powered by Blogger.