Header Ads

Header ADS

Wolper Afunguka Baada ya Kuachwa "Mungu Ananipenda Hajafanikiwa, Nahisi Nimekuwa Chambo...Nitaongea..."


Mfanyabiashara Chidy Designs ameachana na aliyekuwa mchumba wake Jacqueline Wolper, baada ya sita kupita tangu amvalishe pete ya uchumba Jumamosi ya Mei 30, 2020.

Akidhibitisha  hilo wakati anazungumza na waandishi wa habari Chidy Designs amesema
"Labda niweke wazi mimi na Jack tulikuwa mtu na mchumba wake, katika wanawake ambao nimewahi kuwa nao amewazidi baadhi ya vitu kwa sababu anajua kuitafuta pesa kwa jasho lake mwenyewe na ameweka kazi mbele".

Jack Nae Amefunguka Kupitia Post aliyokuwa anamjibu shabiki wake :

 Huko nyuma Jacqueline Wolper aliwahi kuwa na mahusiano na Dallas, Harmonize, Official Brown, Young Killer na kwenye mahojiano ya msanii wa singeli Meja Kunta ameweka wazi kwamba alikuwa na mahusiano naye.



No comments

Powered by Blogger.