Header Ads

Header ADS

Watanzania 60 Warejea Nchini kwa Ndege Maalum




Raia hao wamewasili katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Kambarage Nyerere Jijini Dar es Salaam, saa 10:10 Alfajiri kwa ndege maalum iliyotumwa nchini humo kuwachukua.

Wameruhusiwa kuondoka nchini Afrika Kusini baada ya kukidhi vigezo na kukubaliwa kuondoka nchini humo.



No comments

Powered by Blogger.