VIDEO:Namna Mpango Mzima wa Kukamatwa Hush Puppy (Bilionea wa Kinigeria) Ulivyo Chezwa
Kwa wale ambao ni wafutiliaje wazuri wa mtandao wa Instagram, Jina la Hush Puppy lazma litakuwa sio jina geni kwako. Hush Puppy kijana wa ki Nigeria mwenye mbwembwe nyingi, Hush kijana ambae amejijengea umaarufu mkubwa sana kutokana na maisha yake ya kifahari na uhusiano wake wa karibu na watu maarufu mbalimbali barani Afrika
Hush Puppy alikamatwa tarehe 10 June 2020 huko Dubai katika jumba mmoja la kifahari mjini humo. Hush Puppy alikamatwa na hela cash zenye thamani karibu Billioni 100 za kitanzania na vitu vengine vya thamani
Unaweza tazama mchezo mzima, Hapo chini.
No comments