Header Ads

Header ADS

Verginia yachagua kiongozi wa kwanza aliyejibadirisha jinsia



Kwa Mara ya kwanza katika historia yake, Jimbo la West Virginia huko Marekani limemchagua Kiongozi wa kwanza aliyejibadilisha Jinsia kutoka mwanaume kuwa mwanamke, kuwa mwakilishi katika baraza la jiji hilo. 

Rosemary Ketchum ambaye kwasasa amejibadilisha na Kuwa mwanamke, anakua mfano wa Jinsi nchi ya Marekani inavyoweka jitihada za kufuta unyanyapaa kwa waliojibadilisha jinsia/transgenders, ikiwemo kuwapatia nafasi mbalimbali za uongozi • 

Badaa ya kuchaguliwa Rosemary alisema - "nimegombea kwasababu naamini kazi ya Kiongozi ni kuwakilisha wananchi , na ndio maana ninafuraha Sana kuwafanyia kazi wananchi ".



No comments

Powered by Blogger.