Sakata Video Ikionesha Wafanyakazi wa UN Wakifanya Ngono Ndani ya Gari Lachukua Sura Mpya
Umoja wa Mataifa umesema umeshtushwa na kuchukizwa baada ya kusambaa kwa video inayoonesha Wafanyakazi wa UN wakifanya ngono ndani ya gari la Umoja huo, Israel, video hiyo yenye sekunde 18 inamuonesha Mwanaume akiwa amekaliwa na Mwanamke seat ya nyuma huku dereva akiendesha gari.
UN imesema inaendelea kuchunguza kufuatia kuvuja kwa video inayoonesha wafanyakazi wa umoja huo wakifanya ngono kwenye gari la UN(seat ya nyuma) na kusema unakaribia kuwatambua wahusika, video hiyo imerekodiwa ikiwa Barabarani,mbele kukiwa na Dereva na Mtu mwingine akiwa amelala.
No comments